Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah huwa mna kazi aisee, ila siku hz hakuna kushikilia kmti, maua tena
Siku hizi aibu hakuna kabisa...Enzi zetu mwanaume akikutokea siku ya kwanza unajikanyaga kanyaga kujibu, Ooh! nawahi nyumbani nimechelewa, nyumbani nasubiriwa..[emoji23][emoji23]..Ukija kumuona mara ya pili kama hajakuona unatimua mbio kujificha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…