Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446529485_113253.jpg
 
TATIZO SUGU LA CHUNUSI

tatizo hili ni tatizo linalotokana na kuwa na Mafuta mengi mwilini ambayo yakiganda uhunda Chunusi yenyewe.

mala nyingi sana uwapata vijana ambao wanapata barehe sababu wakati wa barehe mafuta Mengi utengenezwa hivyo kusababisha tatizo hilo.

basi tushajua tatizo hilo linatokana na mafuta kuganda kwenye ngozi basi pasi na shaka lazima kutatua tatizo hilo ni kujiepusha na kupaka mafuta kabisa( usipake kabisa mafuta usoni)

fanya mazoezi yenye kutoa jasho hili kuondoa mafuta hayo mwilini kirahisi sana, utaangaika kupaka mafuta na mafuta lakini tatizo lako ni hayo hayo mafuta unayoyaongeza mwilini.

sabani zingine zina mafuta Mengi sana hivyo usitumie Medicated tumia sabuni za kawaida tu.

jioni imeingiaa.
 
Back
Top Bottom