Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro ,watu wote bro mnaalikwa, sema sikuwa najua kama watu wengi wanaweza zile mishemishe za kuvuna mpunga, wew Utakuwa unazifahamu [emoji23][emoji23]Huku kwema. Nasubiri kualikwa kuja kuvuna mpunga. Au ni mabinti pekee ndo wanaalikwa?
Nazijua sana...Hata Morogoro huko vijijini navunaga...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro ,watu wote bro mnaalikwa, sema sikuwa najua kama watu wengi wanaweza zile mishemishe za kuvuna mpunga, wew Utakuwa unazifahamu [emoji23][emoji23]