mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha shimba ya buyenzeKwani Cole Williams naye kapigwa rasmi na Mzee wa Ini?
Leo Mkuu watu wanatoa likes chache, sijui ni mimi tu.Kula likes zako
Mpenzi pumzika ngoja nichukue simu yakoJamani naombeni pooo,vidole vinauma na mbavu ziko hoi huku mwenzenu.
Yapsegadance
Weee basi itabidi mm unitongoze mara ya pili.Kumbuka mtalaka hatongozwi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SHIMBA YA BUYENZE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupo wengi mkuu. It is like a conveyor belt. Kuna mijibaba inayoachika, inayohangaika kupata, inayokataliwa, inayogombania binti mmoja na mingine inayoshabikia tu na kuchochea moto huku na huko bila sababu. Ni struggle for existence and the survival of the fittest to the max. Kwenye mpambano wa Babe S hukushiriki?
Yap mzee wa kuliamsha dudeHa ha ha ha bishop Gwajima
Tuko pamoja
Vita vya Cole ni vikali kuliko vya Andjul. Mzee wa Ini kamkalia kooni vibaya sana mpaka anamtisha. Basi anaibuka na mistari mikali ya kizungu. Nilikuwa nafikiri imelengwa kwa mhusika kumbe ni kujiliwaza. Duh !!!Cole Williams kumbe huwa anajiliwaza hebu njoo ujibu tuhuma
Aya chukua hayoNapendaga ma.likes kama msaniiiii[emoji443] [emoji445]
Naomba uwepo wakoGood job
Hapana watu wapo kwenye hang over za wikiendLeo Mkuu watu wanatoa likes chache, sijui ni mimi tu.
Post chochote upate likeWeka likes pata malike