Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
hahaa..yule tunamuitaga baba wa mashairi.. mkuu"
La Re Vanchasecretory de a mor ""...
Unatoka gerezani kwa msamaha wa rais halafu unaishia kuuawa na wanachi wenye hasira kali. Nice !!!Nia ya Rais Magufuli kuwapa msamaha ilikuwa njema lakini kuna baadhi ya watu wameitumia vibaya fursa hiyo na hadi sasa watu watano wamekwishauawa na wananchi,” amesema.
“Ukitoka gerezani kwa msamaha, maana yake umerekebisha mwenendo wako na wananchi wanatarajia uwe hivyo, lakini kama ukifanya vinginevyo Serikali isilaumiwe.”
Akizungumzia utendaji wa jeshi hilo, Sirro amesema tangu ashike madaraka hayo polisi wamewapeleka askari 1,267 kwenye mafunzo ya medani za kivita na wako imara.
Sina uhakika kama Ivanka atapona ktk mawindo ya RooneyWayne Rooney ametua Washington, Marekani kwa ajili ya kukamilisha mazingumzo na kufanya vipimo leo Alhamisi kuhusu uhamisho wake kutoka Everton kwenda DC United.
Jana, Rooney alikatisha mapumziko mafupi aliyokuwa pamoja na familia yake ndani ya Barbados ili kukamilisha mpango wake huo wa baadaye.
Rooney alikuwa katika Visiwa vya Caribbean tangu wiki iliyopita. Kwa sasa atakuwa akizungumzia kiasi cha Pauni 300,000 kwa wiki kutoka katika klabu hiyo mpango huo ukikamilika leo.
LA muje de mividaLa Re Vancha