Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wazazi wawili mjini New York wameshinda kesi waliyokuwa wakipambana kumuondoa kijana wao mwenye umri wa miaka 30 baada ya kukaidi kuondoka
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo katika mahakama ya juu ya jimboni humo, Jaji aliamuru kijana huyo aondoke nyumbani kwa wazazi wake.
 
Jaji Donald Greenwood alimwambia kijana huyo kuendelea kubaki nyumbani kwa miezi sita zaidi kama alivyoomba ''haikubaliki''
kijana Michael Rotondo ambaye alijiwakilisha mwenyewe mahakamani, amesema ''Sijui kwa nini hwawezi kusubiri kidogo kabla ya mimi kuondoka,Bwana Rotondo alieleza huku wazazi wakiwa wamekaa karibu na mwanasheria wao wakimtazama.
Alisema kuwa miezi sita ndio muda uli sawa kwa mtu ambaye alikuwa akiwategemea watu .
 
Hataki utani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mama yupo sawa kuuliza, maana tayali wamekuwa kitu kimoja tayali, lazima awe anapata taarifa znazojiri, sema ni mfumo dume tu uliozoelekea kwenye familia nyingi

Kuna familia zingine mama hajui kabsa baba analipwa/anaingiza kiasi gani,,, jamaa anadai km unakula/unavaa/unatibiwa/ndugu zako wanafurahia msaada wangu,,,, hayo ya kulipwa /kuingiza kiasi gani hayakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walipokuwa wakifungua mashtaka juma lililopita,Christina and Mark Rotondo walionyesha nakala ya nyaraka walizokuwa wakimuamuru kuondoka nyumbani tangu tarehe 2 mwezi Februari mwaka 2018.
Sehemu ya nakala zikiwa zimeandikwa ''Kuna kazi zinapatikana hata kwa wale wenye historia mbaya ya kufanya kazi kama wewe'' ''Nenda katafute kazi-unapaswa kufanya kazi!''
 
Pia wazazi hao walimpatia dola za Marekani 1,100 ili aondoke nyumbani, kwa mujibu wa barua walimtaka auze baadhi ya vitu vyake ikiwemo gari yake mbovu aina ya Volkswagen Passat.
''Nilitumia na wala sijutii, alieleza waandishi wa habari kuwa alizitumia pesa hizo
Mahakamani Rotondo alikiri kuwa hakuwahi kuchangia gharama zozote nyumbani.
 
Baada ya kusikilizwa kwa kesi siku ya Jumanne , Bwana Michael Rotondo aliwaambia waandishi wa habari kuwa atakata rufaa, na amepanga kuondoka nyunbani miezi mitatu ijayo.
Michael Rotondo amesema uhusiano na wazazi wake haujawa mzuri, kiasi cha kutozungumza kabisa ndani ya nyumba.
amesema wazazi wake walimwambia kuwa anaweza kuishi nao miaka minane iliyopita alipopoteza kazi.
Alisema kwa sasa ana kazi , alipoulizwa kuhusu kazi anayofanya alikataa kutoa maelezo zaidi.
 
Huo tunauitaga UBINAFSI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee..the world isn't fair"" kazaliwa bila ridhaa yake lakini bado wazazi wanamtimua akajitegemee hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…