Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Bado nipo napita taratibu usiwaze upost saa ngapi like yangu lazima mkuuYaani posts zangu naona like moja tu ya ISIS
AMUN RAIt's a new sunrise full of joy
Jinsia yako mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji23][emoji23][emoji23]Nampenda sana Gwajima
Nampiga kwa upande wa kangaMbavu zina nini? Kichwa Kichafu kakushushia kipigo ama?
HhaahahhaKumbe kweli kichwa kichafu kapata mke humu
Ha ha ha ha kwa hili wewe nakuaminia.Bado nipo napita taratibu usiwaze upost saa ngapi like yangu lazima mkuu
Kula likes acha siasaChama cha makanikia kibawatakia asubuhi njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umekuwa Zari? Ndoa kwa faidaMwambie aniandikie urithi wangu mapem kbs maana sikuchukua kitu chochte.
Humu humu mkuu. Hata wewe ukichangamka utapata!Ha ha ha ha ha ha kamtolea humuhumu?
andjul hujambo?Pumzika salama mkuu
Upate likesWeka likes
LikesLeo sitaki kwenda kwenye thread nyingine mbali na humu
AMUN RAUNIVERSE TAKE CONTROL
Mimi nakataliwa MkuuHumu humu mkuu. Hata wewe ukichangamka utapata!
Mzee wa dataMimi ni mtunza kumbukumbu wa wazee wa likes...
Morning mzee wa liverMorning all
Kiingereza cha kubabia babia hichi. Kisukuma mi ndo kinapanda. Malugha ya watu haya shida tupu!Shikamoo mwalimu wa kiingeredha
Sijui kama kweliNasikia jana wauaji wa biti baadhi wameuawa
Habari yakoNo such thing in life that's better than yourz