Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namchunga nani mkuu. Nazungumzia ulinzi wa usiku kulinda mali za matajiri. Siyo wote tunalala nyie mkilala. Mkilala sisi wengine ndiyo kunakucha (and vice versa). Sasa ndo najiandaa kuuchapa usingizi sasa japo kwa masaa matano sita hivi. Maisha!
Na bado tajiri hajakuandalia visa ili asikulipe mshahara wote wa mwezi.
 
Namchunga nani mkuu. Nazungumzia ulinzi wa usiku kulinda mali za matajiri. Siyo wote tunalala nyie mkilala. Mkilala sisi wengine ndiyo kunakucha (and vice versa). Sasa ndo najiandaa kuuchapa usingizi sasa japo kwa masaa matano sita hivi. Maisha!
Nilijua unachunga familia yako..kama ni kazi hamna neno..kikupacho riziki ndio chako
 
Back
Top Bottom