Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8cf88da9f891ccf223f8b05f52e28b89.jpg
Ahsante Mungu kwa siku nyingine tena
 
Haya haya,,mumeamka salama? Tukutane hapa tena,Mungu awafanyie wepes kila jambo lenu lifanikiwe kwa asilimia 100. Tukutane sabasaba tujizombeee madikodiko tuje kuwapiga wajinga wajinga mtaaaan...cocochanel miss u
 
Mpaka kwenye asilimia 100 Amen. Hiyo sentensi ya mwisho ya madikodiko ishindwe na ilegee! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom