Kuna watu wanajaribu kujenga upya miji iliyovurugwa na vimbunga[emoji3] [emoji3] ingawa wanafanya hivyo wakiamini wanaanzisha miji ambayo haijakaliwa na watu[emoji3] [emoji3]Bado yapo aisee, au niseme sijui ndio yanajengwa upya? [emoji1][emoji1]
Hahahaa...mkuu imekuaje tena kumkumbuka huyu mtu?. Binafsi nilikua namuelewa sana tu kwenye ubora wake.Athuman Idd Chuji
Namkubali sana huyu jamaa aliyetamba sana miaka ya 80-90. Nadhani mpaka sasa kazi zake bado tamuTunaomkubali huyu nguli tujikumbushe kidogo
Ni sauti sol wale wakenya mkuu..bila shaka atakuwa ni mtaalamu " the weekend..in "" i feel it coming ""
HahahaHahahaa...mkuu imekuaje tena kumkumbuka huyu mtu?. Binafsi nilikua namuelewa sana tu kwenye ubora wake.
Ya dizaini hiyo niliyaona pale Shy
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu safi, mwezi mtukufu lakini wateja wana endelea kuhudimiwa mitaa hiyo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu safi, mwezi mtukufu lakini wateja wana endelea kuhudimiwa mitaa hiyo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huwa sichoki kumsikiliza huyu jamaa,kuna watu wamekuja duniani wawe mfano kwa wengine.Namkubali sana huyu jamaa aliyetamba sana miaka ya 80-90. Nadhani mpaka sasa kazi zake bado tamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamaa moud mambo?Za siku nyingi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu Hawapoi mkuu!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu safi, mwezi mtukufu lakini wateja wana endelea kuhudimiwa mitaa hiyo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanajaribu kujenga upya miji iliyovurugwa na vimbunga[emoji3] [emoji3] ingawa wanafanya hivyo wakiamini wanaanzisha miji ambayo haijakaliwa na watu[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseee "" umeniacha mbali sana " acha nilaleNi sauti sol wale wakenya mkuu
Loon huyu .....!! naona imani imemtafuna kweli kweli aisee...""