Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zahir[emoji3] [emoji3] wapo mkuu. HAWAPOI. Hata hivyo kuna mtu amekodishwa hapo pamekuwa pa hovyo kabisa. Siyo ile Zahir unayoijua
Miiiiii
Hakuna mwenye nafuu hapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzi umeelemewa na umbea huu. Watu wamejifunza kuwa wasiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hasira za nini mkuu wakati ligi imeisha na ubingwa umeshanyakuliwa na upo hapoEti ni kweli hasira zao wanazimalizia kwa Majimaji?
[HASHTAG]#SportsbyITV[/HASHTAG]
Kuna watu wameshazoea kuishi jela, kumuachia huru ni kuhatarisha maisha yakeUnatoka gerezani kwa msamaha wa rais halafu unaishia kuuawa na wanachi wenye hasira kali. Nice !!!