Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni tabibu wa karibu; tabibu wa ajabu;
na rehema za daima; ni dawa yake njema.
Imbeni, malaika, sifa za Yesu Bwana;
pweke limetukuka jina lake Yesu.
Hatufai kuwa hai, wala hatutumai,
ila yeye kweli ndiye atupumzishaye.
Dhambi pia na hatia ametuchukulia;
Twenendeni na amani hata kwake mbinguni.
Huliona tamu jina, la Yesu kristo Bwana,
yuna sifa mwenye kufa asishindwe na kufa.
Kila mume asimame, sifa zake zivume;
Wanawake na washike kusifu jina lake.
Na vijana wote tena, wampendao sana,
waje kwake wawe wake kwa utumishi wake.
 
JE, WAJUA KUWA VIAZI VITAMU HUONGEZA HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA KUCHELEWA KUFIKA KILELE?? JINSI YA KUTUMIA (1) Chukua viazi vitamu vyembamba na uvioshe vizuri na maji masafi (2) Usivimenye bali uvichemshe kama vilivyo ... Hakikisha vimeiva na uviipue... (3) Hakikisha unakula na maganda bila kutumia kinywaji chochote!! (4) Baada ya hapo, tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba!! Maana macho yalikutokaa!! Wewe kama una tatizo hilo la mapenzi muone Daktari. (5) Usijione mpuuzi, mpaka sasa utakuwa umejifunza kitu na si kila tiba unataka kujaribu utakunywa Sumu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…