Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1526261756869.jpg
 
Mwufwalamagoha Kibassa Mwalimu na mwanasiasa. Mbunge wa kwanza toka upinzani kuongoza Iringa mjini. NCCR-Mageuzi 1995-2000

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha huyu hakuwa Mwalimu bwana, alikuwa kaka yao na wakina Mwalimu Mwufwalamagoha.
Alikuwa anafanya kazi Ikulu miaka ya nyuma kidogo "Foreign Directorate" ilikuwa ni BIG BRAIN HASWAAA.
He was one among good advisers Security Advisers of Mwalimu Nyerere........
 
Back
Top Bottom