Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,312
SafiPoa aise....vipi hali?
kweli..Ijumaa ndiyo hii
Hahahaha huyu hakuwa Mwalimu bwana, alikuwa kaka yao na wakina Mwalimu Mwufwalamagoha.Mwufwalamagoha Kibassa Mwalimu na mwanasiasa. Mbunge wa kwanza toka upinzani kuongoza Iringa mjini. NCCR-Mageuzi 1995-2000
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndiyo waliofanya Lobbying Njombe iwe Mkoa.