Ewaaa huyu bwana alifutaga Adhabu ya kifo akazua Mtafaruku Mkubwa na wakubwa wake.
Ilibidi apelekwe Mahakama ya Rufani lakini kutokana na msimamo wake akaishia Mahakama Kuu tu.
Alikuwa na vyeo kama vitano hivi......
Alilalamikiwa sana kwa kuligeuza Shirika la BIMA kuwa la Wanyakyusa.
Chuo cha Benki Iringa kilikuwa na Jina lake Amon Nsekela....
Ndiye Waziri wa kwanza Tanzania ambaye alitengeneza Bajeti ya Fedha Superb..
Baada yake hakuna tena Waziri aliyewahi kufanikiwa kufanya hivyo,......He was very talented but sad, Smart people do not Survive very in Tanzania...