MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Niaje mkuu, umeamka salama huko?
Swalamaaa Man, how u ??Niaje mkuu, umeamka salama huko?
Nipo mkuu na wapenda likes wenzangu tunadumisha upendo.Enlightenment likes my comments!
Amina Amina Amina,....Mapendo Daima!Nipo mkuu na wapenda likes wenzangu tunadumisha upendo.
Hayo ndo maneno[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1][emoji1][emoji1] Wewe mgomvi! Basi njoo hapa Snow Cream utanikuta!
Najua umeelewa kilichomaanishwa hapoKwa hiyo Mc Pilipili atakuwa ana faidi sana watoto
Mazizi ya humu yote yamekumbwa na tsunami baba[emoji23][emoji23][emoji23]Yapo bana, si umeona mwenye zizi alivyo pandisha mori! [emoji1][emoji1]
Mambo vp Chief,
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi??nichikichie??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Mpaka carbamazepine ameamua kuchikichia, hatari hii! [emoji1][emoji1]
Yes, one day you wake up and go the whole day without thinking about them. A day becomes 2, 2 becomes more. When they eventually cross your mind, they don't trigger anything at all because you've accepted that they were something you had to go through to grow. [emoji173]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ndo maana mimi hata mautani ya humu nimeshaachana nayo kabisa. Sitaki utani na mtu. TOA LIKES POKEA LIKES. Kwisha !!!