Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 785254
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 785254
asante mkuu"" yaonekaña kama ulitega nyavu zako "" na mie samaki nikanasa ..kama ilivyokuwa matarajio yko "" hakika umenipatia fundisho zuri tu ....mapema hii umeibust akili yangu nakuniachia elements fikirishi...ngoja ni ya fanyie udadisi hayo maswali uliyoniachia..ili niyatagutiae jibu '""
Zitto Jr .....darasa limehamia huku leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yalivyomtoka sasa[emoji23]View attachment 785270
Hakika mh Stephen Kibona, mbunge wa Ileje na Waziri wa fedha Serikali ya awamu ya nne nilimkubali sana. RIP mh WaziriNdiye Waziri wa kwanza Tanzania ambaye alitengeneza Bajeti ya Fedha Superb..
Baada yake hakuna tena Waziri aliyewahi kufanikiwa kufanya hivyo,......He was very talented but sad, Smart people do not Survive very in Tanzania...
C kaua[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli, ila wambea tuta/watajua tu [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo Amon Nsekela alikuwa mchapakazi hodari, lakini aliyetuhumiwa kuligeuza shirika la Bima kuwa mali ya wanyakyusa ni Gibbons Mwaikambo.Alikuwa na vyeo kama vitano hivi......
Alilalamikiwa sana kwa kuligeuza Shirika la BIMA kuwa la Wanyakyusa.
Chuo cha Benki Iringa kilikuwa na Jina lake Amon Nsekela....
hahaa.. wallahi sitaki ile statement impite " aje yy walau aisome "" kisha tutauhamisha mjadala wetu kule JI """Aaaaaaaaah,
Hao wakina Zitto waache wadiscuss Siasa zao huko huko Bwana...
Huku tunataka kupumzika na kupeana Likes tu.....
Ni urembo au adha ....?
asante " Jamaa yangu ""Ikurudie na wewe mkuu.....
Simkumbuki, nikumbusheAndongwisye Uswege unamjua ???
Simkumbuki nikumbusheAndongwisye Uswege unamjua ???
Hahahahaha, leo atatuletea mambo ya THE VAULT TO HEAVEN....!hahaa.. wallahi sitaki ile statement impite " aje yy walau aisome "" kisha tutauhamisha mjadala wetu kule JI """
shikamoo""hujamboooooo.....
Ngoja ngoja nikirudi ntajaribu kupekua picha zake halafu ntascan uione..Simkumbuki nikumbushe
Yuko wapi sasa mwanasiasa huyuHahahaha huyu hakuwa Mwalimu bwana, alikuwa kaka yao na wakina Mwalimu Mwufwalamagoha.
Alikuwa anafanya kazi Ikulu miaka ya nyuma kidogo "Foreign Directorate" ilikuwa ni BIG BRAIN HASWAAA.
He was one among good advisers Security Advisers of Mwalimu Nyerere........