Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2016-09-09-13-51-04.png
 
Hivyo basi ni sawa nikisema kwamba unaweza kurudisha kitu chako chochote kile ulichokipoteza lakini huwezi kurudisha muda wako uliopoteza(TD Jakes anasema when you take my time you have taken something from me that is totally irreplaceable)
 
Binadamu hathamini vitu ambavyo Mungu kampa bure ambavyo kimsingi ndio vyenye thamani . Binadamu hathamini muda, hathamini idea zake,hathamini akili yake, hathamini sura na mwili wake, hathamini marafiki zake , hathamini njozi zake wakati hivi ndivyo vitu vyenye thamani kubwa zaidi duniani.
 
Masikini na watu wa kawaida wao hawajali muda waunatumia wanavyojisikia na ndio wale wanaovaa tisheti zilizoandikwa “There is no hurry in Africa”(Hakuna haraka Afrika) na wanaridhika kabisa kuvaa tisheti hizi na kutembea nazo kisa wamewaona wazungu wamevaa kumbe wazungu wanawapumbaza wao wakifika kwao wanavaa tisheti zilizoandikwa “Time is money” Muda ni fedha ndio.
hahaa..sijawahi kuziona hizo t.shirt""wanavaa kweli au ""?
 
Masikini na watu wa kawaida wao hawajali muda waunatumia wanavyojisikia na ndio wale wanaovaa tisheti zilizoandikwa “There is no hurry in Africa”(Hakuna haraka Afrika) na wanaridhika kabisa kuvaa tisheti hizi na kutembea nazo kisa wamewaona wazungu wamevaa kumbe wazungu wanawapumbaza wao wakifika kwao wanavaa tisheti zilizoandikwa “Time is money” Muda ni fedha ndio.
[emoji736][emoji736]
 
Sasa binadamu huyu anathamini nini?
Binadamu anathamin vitu ambavyo vinawekewa thamani ya fedha ambavyo kimsingi ni vya rahisi na vinaweza kurudishwa au mtu kuvipata tena baada ya muda(they can be replaced) hivyo binadamu anathamini magari, nyumba, viwanja, biashara n.k
 
Hahahahaha,
Ni wimbo gani huo aisee..???
Nimesoma nikachanganya na ule wa The Incredible Remix....
Walioimba na wakina Chidi Benz
Huu unaitwa tuko pamoja wa blue...

Kunasehemu anaambiwa na mdada(aah! bora ungezaliwa mbele) anajibu (hapana hapa hapa kule nisingejua misele, bora hapa hapa kwa Nyerere au sio wakina mama pogeni vigelegele)
 
Sasa tunakupa madini kama haya ili ufunguke akili yako uanze kuona mambo tofauti kabisa na jinsi ambavyo ulikuwa unayaona mwanzoni(remember when you change on how you see the things the things you see change too)ukibadili namna ambavyo unaangalia vitu ,vitu ambavyo unaviangalia vinabadilika pia.
 
Haya sikatai unathamini sana nyumba lakini nyumba au gari ni nini? Nyumba ni wazo(idea) hakuna mtu yeyote yule duniani amewahi kutengeneza nyumba au kununua gari pasipokuwa na wazo la kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom