Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kati ya kitu cha thamani ambacho Mwenyezi Mungu amempa binadamu na hatakiwi kukichezea kabisa ni muda. Unatakiwa kujua kwamba muda ambao unapoteza leo katika kufanya jambo ambalo sio la msingi hakuna namna ambayo unaweza kuurudisha nyuma.
 
Mungu ni mwema sana ametoa muda wa masaa 24 kwa siku kwa kila mtu lakini matumizi yako ya muda kwa siku, mambo ambayo unayoyafanya ndiyo yataamua wewe uwe mtu wa namna gani. Tajiri na masikini wote wamepewa muda sawa lakini wanatofautiana kwenye matumizi ya muda wao. Matajiri wanajua thamani ya muda hawakubali kupoteza muda wao kijinga kijinga(They value their time)
 
Masikini na watu wa kawaida wao hawajali muda waunatumia wanavyojisikia na ndio wale wanaovaa tisheti zilizoandikwa “There is no hurry in Africa”(Hakuna haraka Afrika) na wanaridhika kabisa kuvaa tisheti hizi na kutembea nazo kisa wamewaona wazungu wamevaa kumbe wazungu wanawapumbaza wao wakifika kwao wanavaa tisheti zilizoandikwa “Time is money” Muda ni fedha ndio.
 
Yuko wapi sasa mwanasiasa huyu
Ameshatangulia mbele ya haki (Apumzike kwa Amani)
Kuna mtu nimeona juzi ana Vitabu fulani hivi vina sahihi zake, akaniambia alipewa naye kipindi anastaafu.
Ni moja kati ya watu ambao ulikuwa ukikaa nao unaweza kuogopa kwasababu uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida.
 
Back
Top Bottom