Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siyo kweli. Mbona zote zina likes tano ambazo ndiyo maximum hapa kwenye app. Au ni gia tu hiyo unaingilia?Yaani posts zangu naona like moja tu ya ISIS
Weekend imetulia kaburungu! Ni mwendo wa likes tu. This is ' stress free zone'Habari ya w'end waungwana wa bonde la likes![emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Afe tu,namtakia matanga mema.hahhaa.
Marefu. TOA LIKES POKEA LIKES...Maji
Jamani hizi picha nyingine muwe mnaangalia si kila mtu anapendezwa nazo
Nzuri binti unipendae lakin mimi nayumbaHabari yako
Weeeee!!Hebu ni wish kwanza in advance kabla ya tarehe 07.
Jakitoo hajatokea ndio maana subiri aje uone atakavyo msifia[emoji23] [emoji23]Kama vile masaa sita yaliyopita ulikuwa hulimwagii sifa za kufa mtu paja la Jakitoo! Wanaume sisi kiboko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kinafanya. Siu umeona?Jamani mbona kitufe cha kuquote hakifanyi kazi kwangu
Asante mkuu. Kucheka ndiyo vizuri. Nikizidisha utani mnikanye na ikitokea nikamkwaza mtu basi aniambie tu na nitajirekebisha mara moja. Pamoja sana!Shimba wewe ni shida kweli nimecheka mpka basi
Tunaupeleka wapi uzi[emoji23] [emoji23]Wadada mnapeleka. Uzii
Kitu imeshiba [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unalijua lakini paja alilokuwa anadai linataka kumuua? Ni paja hasa siyo mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]
Zipi hizoJamani hizi picha nyingine muwe mnaangalia si kila mtu anapendezwa nazo