carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]Mahabati sijui tuanze yepi ya kihindi, kikorea au kifilipino
[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]Mahabati sijui tuanze yepi ya kihindi, kikorea au kifilipino
Sema mkuu. Umerudi kuwa sawa sasa? Yatapita and everything is going to be OK. Na pengine utapata mkali zaidi kuliko ex wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SHIMBA YA BUYENZE [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Koh kohPokea salamu yang ya asubuhi iliyojaa kiss na likes zakutosha sukari ya moyo
Thawabu kutoka kwa nani?Anayegawa likes nyingi anapata thawabu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Koh koh
Na wewe usisahau kutoa zako. TOA LIKES POKEA LIKES!!!Nimekuja tena wadau kuchukua "zangu"
Shimba wewe ni shida kweli nimecheka mpka basiVita vya Cole ni vikali kuliko vya Andjul. Mzee wa Ini kamkalia kooni vibaya sana mpaka anamtisha. Basi anaibuka na mistari mikali ya kizungu. Nilikuwa nafikiri imelengwa kwa mhusika kumbe ni kujiliwaza. Duh !!!
Kwa nini? Mipaja inakupa wakati mgumu ama? [emoji23][emoji23][emoji23]Jakitoo inabidi abadili ile Avatar yake
Mimi ni kisiki cha mpingo, ni upepo tuAisee mtamuua andjul
Salama mkuu, kwema?Mmeamkaje wana uzi
Mungu aibariki safar yakoHata me niko safarini nitakieni heri
We Mzee jiangaliemzee wa liver nadhani ulimkuta ISIS salama kama ulivyomuacha maana ulinzi wangu jana kwake zaidi walinz wa US