When two people fall in love and suspect they are made for each other, the thing is to have the courage to break it off, for by continuing they have everything to lose and nothing to gain.
SARATANI
Saratani ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopotea mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko wa seli nyingine.
Pumpkins are 90% water.
And that makes them low calorie. One cup of canned pumpkin only has 83 calories and only half a gram of fat. In comparison, the same serving size of sweet potato has triple the calories. They also have more fiber than kale, more potassium than bananas and are full of heart-healthy magnesium and iron
Zipo saratani zinazosababishwa na virusi kama vile hepatitis B ambayo huleta saratani ya ini. Human papilloma virus ambayo inahusishwa na saratani ya shingo ya kizazi.
Saratani huweza kutokea kwenye sehemu mbalimbali za mwili kama vile mapafu, matiti, ovary, kibofu cha mkojo, shingo ya kizazi, utumbo, koo, kinywa, tezi dume(prostate), ini na ngozi.
The tragedy is not that we are alone, but that we cannot be. At times I would give anything in the world to no longer be connected by anything to this universe of men.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.