Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu iliyotoka usiku huu, Rais na Mwenyekiti wa ccm Dkt MagufuliJP amewateua Mizengo Kayanza Peter Pinda (Waziri Mkuu mstaafu) na Makongoro Nyerere kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…