myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Golden State jana wakakalishwa na Mr. Madevu...I have a dream
Ee maajabu makubwaMaajabu gani? Kupachikwa cheo cha Consuela ama?
Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu iliyotoka usiku huu, Rais na Mwenyekiti wa ccm Dkt MagufuliJP amewateua Mizengo Kayanza Peter Pinda (Waziri Mkuu mstaafu) na Makongoro Nyerere kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC)
YeahGolden State jana wakakalishwa na Mr. Madevu...
Nimemsikiliza Steven A Smith hapa akitema mate kuwa watashinda gemu lijalo na kulazimisha game 7 hasa kama Chris Paul hatachezaYeah
Its over for them