Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitendo cha Msemaji wa Ikulu (Mtumishi wa Serikali) kutangaza vikao vya CCM na Uteuzi wa Wajumbe wa Vikao vya CCM ni hatari mno. Watanzania wanalazimishwa kukubali kuwa watumishi wa serikali ni watumishi wa CCM. CCM ina msemaji wake, lakini mambo ya CCM yanatangazwa na Ikulu.
 
Jamaa uliowataja ndio maana hua wanaheshimika popote wanapotimba, utaona ataikiwa ni interview basi ata mapresenter huwa na heshima kwao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…