Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiogope Hearly, hiyo ni namba kama zilivyo namba zengine.
Hivi unajua Lugha ya Kihebrania (Ancient Hebrew) na lugha za Kimisri (Kikemeti) zilikuwa na nguvu sana ???
Ngoja nikueleza basi ndugu yangu kwa leo. Hizi lugha haziko sawa lakini zinaendana sana kutokana na Muingiliano wao.

Lugha zilikuwa zinatumia Alaza za Picha au Namba kuelezea kitu, ndiyo maana kama unataka kuelewa Biblia ya Agano la Kale unashauriwa Ujue sana Lugha ya Kihebrania kwasababu Lugha ya Kiingereza na Kiswahili zimepunguza uhalisia wa maneno.

Biblia imeandikwa kwa Lugha mbili, Agano la Kale Kihebrania na Agano Jipya Kigiriki. Waroma waligundua haya na wakafanya yafuatayo: Waliwalazimisha wasomi wote wa Kanisa kujua Kilatini na Kigiriki ambazo zilikuwa ndiyo Lugha za Taifa za Rumi wakati huo. Hivyo basi hapa tunajifunza kitu gani ??? Tunajifunza kwamba tunaposoma Biblia ni lazima tujue lugha nne ili tuelewe vizuri. Kihebrani, Kigiriki, Kilatini na Kiingereza..Haya basi, tujiulize tena kwanini hizi lugha nne ???

Kigiriki ndiyo Lugha ya Taifa ya dola la Rumi kwa wakati wa Mitume na Yesu, kabla ya Kitlatini.
Hivyo Kigiriki Kilizaa Kilatini, na Lugha ya Kilatini ilizaa lugha ya Kiingereza na Lugha nyingine za Ulaya.
Huu ndiyo Uhalisia wenyewe wa mambo. Bahati mbaya Kiswahili ni lugha changa ambayo haina uhusiano wowote na Lugha hizo za Kale, hivyo basi ili kutoondoa maana ya Neno la Mungu ni vyema tujitahidi kusoma Biblia kwa lugha Asilia kama walivyofanya Wenzetu Waislamu.

Hebu tuyaache haya Mkuu Hearly na Turudi kwenye 666,
Wewe hapa umehisi nini labda ??? Umestuka sanaaa, NAOMBA USISTUKE TENA.
Namba 666 kwenye Lugha ya Kihebrania ni namba kama zingine ila kwenye Biblia "Ufunuo" imetumiak kumaanisha "Mnyama" au "The Beast"...Ambaye tunamfahamu kama Mpinga Kristo ajaye. Hivyo basi hata namba nyingine ni namba tu, yenye maana yake. Mfano namba 13 kwenye lugha ya Kihebrania inamaanisha Mafanikio, Baraka, Kubarikiwa na Neema. Ndiyo maana Mwaka 2013 ulikuwa na maana sana kwa Wayahudi na Wakristo wengi walisoma Thiolojia.

Hivyo namba zisikuogopeshe bali, kile ambacho zinamaanisha ndicho cha Kuogopa.
Ukweli huu aliujua Ndugu Nikolai Tesla ndiyo maana akasema "Mwanadamu akijua umuhimu wa Namba 3, 6, 9" atabadilisha Ulimwengu. Nikiandika 666 bila kumaanisha The Beast itakuwa namba kama namba nyingine tuuuuu.

NB 1: Nikuache na Swali la kufikiria leo.......
Hivi unajua kwanini Mungu aligawanya Lugha pale Babeli ???
Kihebrania Neno "Babeli" linamaanisha CONFUSION or PUT TO CONFUSION....
KWANINI ALISEMA hawa WAKIPANGA KITU HAWATASHINDWA BASI TUSHUKE TUWAVURUGE.

NB 2: HALAFU UNASOMA MBELE ZAIDI UNAKUJA KUGUNDUA KWAMBA,
Kuna Nabii alisema kwamba MUNGU ATARUDISHIA WANADAMU ILE LUGHA YAO YA KALE ILIYONYANG'ANYWA pale BABELI. Je, ni lugha gani hiyo ??? Kwanini MUNGU AIRUDISHE ??? Na Nabii huyo anasemaje nini kitatendeka baada ya hiyo Lugha Kurudi ??? Ni Kitabu Gani na Nabii Gani huyo ??? (Watu wengi wanasoma Biblia na kupapita pale)
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
After you hurt a girl and you decide to check up on her and you text
"Hey Cutie lala salama" auto-correct na shetani yake ijiandike ".....lala salamander"
Hapo ndo utajua haujui my friend [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nifike hapa mathare nikam [emoji38][emoji38][emoji38]
 
FB_IMG_1525850401474.jpg
 
Hahah!! Kulia na malalamiko kibao kama watoto wa kambo, aisee game ina mambo mengi sana ya kuzingatia ili kuli-win na kumaintain...
kabisa mkuu"" wanaleta udananda mnooo" kwenye biashara za watu ""...ndio maana unaona wanaotamba ni ali kiba ..diamond " vanesa mdee " kwa sababu wanatia mpunga "" wanafanya mziki kibiashara "" wajua kama unatia sehemu Fulani pesa zako " nilazima value yako ipande "" kwa sababu unalipia muda wako"" ........so huwezi kupelekwa pelekwa tu"" ....
 
After my high school, I decided to go to a medical school. .At the entrance, we were asked to re-arrange the word:- _PNEIS_. to form the name of an important body part which is most useful when active
Those who wrote spine are now professional doctors. While, those of us that wrote what you're thinking are whatsapp group and telegram admins
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I thought people said weed is bad..... I just smoked it now and feel nothing happens to me....... meanwhile I've sold my phone to buy airtime[emoji38][emoji38][emoji38]

I need help
So what we get drunk

So what we smoke weed

We’re just having fun

We don’t care who sees

So what we go out

That’s how it's supposed to be

Living young and wild and free
 
Back
Top Bottom