Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“Tunahitaji kuwa na mwenendo wa China, nitafurahi siku Magufuli akizima data, na nadhani kuna haja ya kumshauri Mheshimiwa Rais, kwa sababu kama tunataka kujenga Tanzania ya viwanda, ni lazima siku moja tuzime data hata mwezi nadhani tutafikia malengo." - Steve "Nyerere" Mengele
 
7. Google huwapa wafanyakazi wote chakula cha mchana bure, katika kila-wewe-unaweza kula mfumo wa mtindo wa buffet, na vitafunio ikiwa ni pamoja na biskuti na saum. Snack ya kwanza iliyotolewa kwa wafanyakazi ilikuwa Samaki ya Kiswidi mwaka 1999.
 
9. Google kwa mara ya kwanza ilikuwa kuhifadhiwa kwenye sarafu kumi za GG katika kituo cha Lego kwa upanuzi rahisi wa kuhifadhi. Hii sasa inaonyeshwa katika Chuo Kikuu cha Stanford. Orodha sasa ina data zaidi ya milioni 100 ya data.
 
Kwanza Steve ni mpumbavu, lakini pili, kwanini amsubirie Magufuli amzimie data, badala ya yeye kujizimia data kwenye simu yake ili tuone anavyojenga hiyo nchi ya viwanda?

Hata hivyo, China haijazima data. Na pia, ulimwengu huu wa sasa hakuna kiwanda kinajengwa bila data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…