Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo Wananchi wamekusanyika kuufukua mwili wa Muuguzi Mkuu Msaidizi wa Hospitali ya Wilaya Mkuranga,Rosemary Mgombela amabaye ameuawa kwa kipigo cha mumewe

Baada ya kufanya tukio hilo mwanaume huyo aliuzika mwili wa Mkewe pembezoni mwa nyumba wanayoishi.
 
VIASHIRIA HATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA KISUKARI
Viashiria hatarishi vya Kisukari kinachotegemea insulin:
  • Kurithi katika familia
  • Magonjwa ya kongosho(mf. Saratani au uambukizo) ambayo huweza kuua seli zinazotengeneza kichocheo cha insulin
  • Mtoto kupewa maziwa mbadala(ya kopo/wanyama) au kumnyonesha mototo kwa muda mfupi
  • Mtoto akizaliwa na uzito mkubwa kupita kiasi
  • Unene au uzito mkubwa utotoni
 
Serikali kupitia Wizara ya Elimu imekabidhi hundi ya Bil 3.2 kwa ajili ya ufadhili wa taasisi na watafiti walioshinda tungo za miradi ya kuboresha miundombinu.

Ni baada ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia kushindanisha taasisi za watafiti na vyuo vikuu
 
Kisukari kisichotegemea insulin
Huwapata zaidi watu wenye umri kuanzia miaka 45 na kuendelea. Katika aina hii, insulin ya kutosha inaweza ikatengenezwa kwenye kongosho lakini haifanyi kazi na hivyo mwili hushindwa kutumia sukari kwa ufanisi.
Mkuu, kuna tofauti gani katika Diabetes type 1 na diabetes type 2. Unaonekana una uzoefu wa moja kwa moja na haya mambo
 
Viashiria hatarishi vya Kisukari kisichotegemea insulin
  • Uzito uliozidi na unene uliokithiri
  • Shinikizo kubwa la damu
  • Mtindo wa maisha usiofaa hususan kutokufanya mazoezi, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na uvutaji sigara/bidhaa nyingine za tumbaku
  • Kuwepo kwa historia ya kisukari kwenye familia
 
Ni member mwenzetu humu huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atazikosa likes
Waongo hawa. Kuna mmoja alijitoa mhanga 2015 eti Lowasa asiposhinda urais basi afumuliwe marinda njemba zikaanza kumsaka baada ya uchaguzi akapotea mazima. Akaja kuibuka baadaye na ngonjera za Lowasa ni rais wa mioyo ya Watanzania... [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Screenshot_20180525-094635.jpg
 
Back
Top Bottom