Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UGONJWA WA KISUKARI
Ugonjwa wa kisukari hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu inayotokana na kongosho linaposhindwa kutengeneza kichocheo cha insulin au insulin iliyopo katika damu inaposhindwa kufanya kazi kwa ufanisi.
 
Ronaldo: Mimi na Salah ni tofauti kabisa mimi mrefu yeye kidogo mfupi anacheza na mguu wa kushoto nacheza na wakulia na nacheza mipira ya vichwa watu wasinilinganishe na mchezaji yoyote nachowezasema amekuwa na wakati mzuri sana msimu huu tusubiri tuone
 
Kisukari cha mimba
Hutokea kwa baadhi ya wanawake wakati wa ujauzito. Ongezeko la baadhi ya vichocheo kama progesterone, estrogen, na free cortisol, huongeza kiwango cha sukari katika damu. Kichocheo cha Human placental lactogen huzuia insulin kufanya kazi kwa ufanisi.
Vichocheo hivi huongezeka kadri mimba inavyokua, na Mara nyingi hutokea mimba ikiwa katika umri wa miezi 5 na kuendelea na huisha wiki 6 baada ya kujifungua.
 
Back
Top Bottom