Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.Goli la haraka zaidi na kadi nyekundu ya haraka.
-Mturuki Hakan sukur ndio anashikiria rekodi hii ambapo alifunga goli sekunde ya 11 kwenye mechi ya Uturuki vs korea kusini na uturuki walishinda goli 3:2
 
8.Brazili ndio nchi ambayo imetumia kiasi kikubwa zaidi kuandaa mashindano haya ($14.5 billion dollars)
Nchi nyingine zilizotumia pesa kubwa ni:-
1994 (USA)-$30M
1998(France)-$340M
2002(Japan & korea)- $5billion
2006(Germany)- $6billion
2010(South africa)- $4billion
2014(brazil)-$14.5billion
 
Kombe la dunia ni moja ya tukio ambalo huwa linasubiri sana kwa hamu katika matukio yaliyopo duniani. Ni moja ya mashindano ambayo huwavutia hata wale ambao sio wapenzi wa mchezo huo murua wa mpira. Tukiwa tumebakiwa na siku 28 kuelekea kwenye mashindano kule Russia unaweza kuwa umeyaona matukio mengi sana katika world cup zilizopita lakini kama hufahamu hizi ndio historia tata na za kufurahisha katika mashindano haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…