Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama sijasahau nadhani aliporudi nyumbani aliuawa ...2.Rene higuita alivyoiponza colombia .
Higuita ni moja ya makipa bora kuwahi kutokea kwenye mchezo wa soka na alifahamika kwa mbwembwe zake za kuokoa mipira golini kwake pia kuisaidia timu kwenye mashambulizi pale inapohitaji kushinda. ilikuwa kombe la dunia mwaka 1990 mechi dhidi ya cameroon kama kama kawaida yake alisogea mpaka katikati ya uwanja na akapewa basi na moja wa beki zake katika harakati za kutuliza mpira huo aliukosa na Rogger milla akauchukua mpira na kwenda kufunga na kuwapatia cameroon ushindi.