Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446535786_117821.jpg
 
katika fainali hizo kocha wa Brazil hakumuita pele katika chaguzi zake ila aliambiwa na rafiki zake pele kwamba kijana ni mchezaji mzuri na anaweza kuisaidia timu. Mechi yake ya kwanza alicheza dhidi ya sweden na katika mchezo huo alifunga hat -trick katika ushindi wa 5-2 na kuwa nyota wa mchezo na toka kumalizika kwa mechi alifunga karibia mechi zote alizocheza katika mashindano.
 
“Tunahitaji kuwa na mwenendo wa China, nitafurahi siku Magufuli akizima data, na nadhani kuna haja ya kumshauri Mheshimiwa Rais, kwa sababu kama tunataka kujenga Tanzania ya viwanda, ni lazima siku moja tuzime data hata mwezi nadhani tutafikia malengo." - Steve "Nyerere" Mengele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kisa aliringishia picha za mwanae mtandaon,wambea wamemsakama sio wake bali wa richie mtambalike
 
Back
Top Bottom