MmmhSeli za saratani hutokea sehemu moja ya mwili na zinaweza kusambaa sehemu nyingine ya mwili kupitia mfumo wa damu/lymph.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeacha aise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki uchokozi
AseeeSaratani inaweza kuwa ya kurithi au kusababishwa na hali ya mazingira ya vitu mbalimbali kama vile;
- ulaji wa vyakula vyenye visababishi vya saratani,
- ulaji usiofaa,
- unywajiwa pombe,
- uvutaji wa sigara au mionzi hatari’asbestos’lisasi(lead), uranium na zebaki.
There are more than 45 different varieties of pumpkin.
They range in color like red, yellow and green, and have names like Hooligan, Cotton Candy and Orange Smoothie
Hahahahaha! Mgumu hutaelewaUmesema?
OkSaratani huweza kutokea kwenye sehemu mbalimbali za mwili kama vile mapafu, matiti, ovary, kibofu cha mkojo, shingo ya kizazi, utumbo, koo, kinywa, tezi dume(prostate), ini na ngozi.
SawaMtindo bora wa maisha ni muhimu sana katika kuzuia saratani na pia ni sehemu muhimu ya matibabu ya kudumisha maishabora baada ya kupata matibabu.
AseeeZaidi ya 60% ya saratani husababishwa na mtindo wa maisha usiofaa hasa;
- ulaji usiofaa na
- kutofanya mazoezi ya mwili.
DuuuuMtindo wa maisha usiofaa wenye madhara ni pamoja na:
Ulaji wa vyakula vyenye nishati-lishe kwa wingi ambavyo husababisha unene, unene unahusianishwa na saratani ya mji wa kizazi, matiti, figo, tezi dume, utumbo mpana na kibofu cha mkojo.
Mungu atupe afya na uzimaDuuuu
Na yale majamaa yana pesa ndefu na silaha za kutoshaKuna tetesi kuwa higuita alikwa na connection na wauza unga wa colombia, so ni mtu wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila la kheri[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Le supermtindiz zina nichanganyaga
[emoji124]