myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Akitaja ni tagAnza wewe
ShemejiiiiiiHatimaye vimaua na tu wine twekundu tuna rudi upya...
Yego mambo vipi ndugu yangu?
Kumbuka kuwa la kuchepuka ndio linezalisha hilo jingine.Yote ni muhimu, na hili la picha laweza kuwa muhimu zaidi ya kuchepuka..
Gudi kwesheni...Na ikiwa wewe ndo unachapa nje upewe hukumu hiyohiyo ama??
Hautanishindwa hata,nikipiga hizo mambo naongea madini tupu[emoji23][emoji23][emoji23]nakuwa na,akili kuliko kawaidaHahahahaha
You have to change bas
Maana mie ntakushindwa sasa[emoji23]
Jibu swali bhana
Jibu mimi nitakuwa natia tiki au kosaAnza wewe