Mie naongelea kumpiga picha mzinzi mwenzie na kuzianika hovyo...Hayo mengine watajuana wao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa
Kwa hiyo kitendo cha mama kutoka nje nacho umeona poa tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie naongelea kumpiga picha mzinzi mwenzie na kuzianika hovyo...Hayo mengine watajuana wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisemi tenaNambie tuu ukweli ili ni
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] away
Davet hii ni ID yako nyingine
( )If you were given a chance of having dinner with a member of JF. Whom would you choose
Yote ni muhimu, na hili la picha laweza kuwa muhimu zaidi ya kuchepuka..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The fact kuwa umeacha jambo la muhimi la kuchepuka na umelipuuzia
Halaf umerukia kwenye picha, umekuwa biased hapo
Ila its okey kweli tuache tu
Anza weweIf you were given a chance of having dinner with a member of JF. Whom would you choose
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisemi tena