Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu mwacheni Consuela wetu jamani. Binti yangu mpole hana maneno na mtu; na shikamoo huwa napataga. Katukumbuka wanauzi wenzake kaamua kutuaprishieti sasa nyie mmeanza maneno. Uswahili tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Waambie kabisa Bro waniache [emoji28] [emoji28]
 
Hebu mwacheni Consuela wetu jamani. Binti yangu mpole hana maneno na mtu; na shikamoo huwa napataga. Katukumbuka wanauzi wenzake kaamua kutuaprishieti sasa nyie mmeanza maneno. Uswahili tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sawa bro ngoja tumwache awe na amani
Kuwa kwenye list tuu ni bahati si sawa na kuachwa kabsa
[emoji1]
 
I need to sleeep
Go to sleep
unnamed%20(5).gif
 
Dah!hivi ni faida gani mtu anapata kufanya yote haya??
Wanaume wengine hatuna huruma kabisa. Unachepuka na mke wa mtu. Na picha unampiga kwa siri. Halafu unazirusha mtandaoni. Uchi kabisa. Na sura yake juu. Jina lake unataja. Na namba yake ya simu unaweka. Why? What are you trying to accomplish? Sad....
View attachment 786136
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini.kumbuka huku hiyo ishu bado haitiliwi umuhim wako wengi na wataal ni wachache na jamii haijui

Wewe upo sahihi kabisa bro ila usi dismiss ishu ya mental illness
Mental illness hasa hizi mild ni ngumu sana kudiagnose. Mpaka ukate mzizi wa fitina mwenyewe na kuanza kuokota makopo. Hata Marekani huko bado ni mtihani ndiyo maana watu wenye mental illnesses wanajipenyeza na kununua AK 47 bila wasiwasi. Ronald Reagan alianza kutafunwa na Alzheimer akiwa madarakani bado na japo walianza kuona wasiwasi katika baadhi ya maamuzi yake, ilikuwa vigumu kuthibitisha ni kweli alikuwa na mental issues. Trump mwenyewe wanasema akifanyiwa comprehensive brain exam pengine ana matatizo. Ndo maana mnapelekeshwa wee kumbe anayewapelekesha ana mental issues kama akina Hitler, Mussolini, Alexander the Great...
 
Back
Top Bottom