carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuchapiwa kunauma eeh??Bro women themselves should be more careful
Mimi makosa ambayo siwezi kukusamehe ni upelekewe moto na mwanamme mwingine siwezi samahe mwanamke wangu kwa hilo
Kuchapiwa kunauma eeh??Bro women themselves should be more careful
Mimi makosa ambayo siwezi kukusamehe ni upelekewe moto na mwanamme mwingine siwezi samahe mwanamke wangu kwa hilo
Was jokingKhaaaa!!
YeahMental illness hasa hizi mild ni ngumu sana kudiagnose. Mpaka ukate mzizi wa fitina mwenyewe na kuanza kuokota makopo. Hata Marekani huko bado ni mtihani ndiyo maana watu wenye mental illnesses wanajipenyeza na kununua AK 47 bila wasiwasi. Ronald Reagan alianza kutafunwa na Alzheimer akiwa madarakani bado na japo walianza kuona wasiwasi katika baadhi ya maamuzi yake, ilikuwa vigumu kuthibitisha ni kweli alikuwa na mental issues. Trump mwenyewe wanasema akifanyiwa comprehensive brain exam pengine ana matatizo. Ndo maana mnapelekeshwa wee kumbe anayewapelekesha ana mental issues kama akina Hitler, Mussolini, Alexander the Great...
Yaani mi nakubali kujichoreshaKuchapiwa kunauma eeh??
Dah!!She deserve it
At least her husband should know what a cheat he married
Ukatili tu hakuna cha kumsaidia "mwanaume mwenzetu" wala nini. Kwa kulala na mke wa mtu hata yeye mwenyewe hana haki yo yote ya kumfanyia hivi huyo mzinzi mwenzake. Karma will get him - ama kwa mkewe au mabinti zake. Karma never forgets...Kamsaidia aje??
Kumuwekea picha zake za uchi mitandaoni?
Hivi huyu akiamua kujiua saahii unafikiri huyo "aliyesaidia kumwambia mwanaume mwenzenu anaibiwa" Hata feel guilty??
Come on ice
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120]Kuchapiwa kunauma eeh??