Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lina matukio mengi ya kusikitisha,
Nakumbuka ibrahimovic(kadabra) aliwahi kusema moja kati ya mtukio yaliyomsikitisha kipindi yupo milan(ac milan) ni lile tukio la bwana mdogo aliyrkuwa mshabiki wa roma kuuwawa na mashabiki wa ac milan..

Hii ilikuwa ni mechi ya ligi ikipigwa katika jiji la milan dimba la san siro, kijana huyu mdogo kutoka rome alikuwa amemuomba ruhusa bimkubwa wake akaitizame timu anayoipenda ya as roma, akaruhusiwa huku akiwa kapewa angalizo la kuwa makini aendako maana kuna uhasama kati ya madhabiki wa pande hizo, asijihusishe kwenye mijadala ya soka, asikae baa wala kwenye makusanyiko ya watu na kweli kija alitii maelezo ya mzazi wake siku ya mechi kijana alikuwa kando kuna jamaa kutoka katika kundi la mashabiki wa milan alikuja kumuuliza kama ana kiberiti awashe sigara katika kumjibu jamaa akagundua kuwa yule ni mtu wa roma kwa lafudhi yake ndipo akapaza sauti kuwaita wenzie matokeo yake walimpiga na kumuuwa kabisa.
So sad jaman. Hapo bi mkubwa aliumia sana kupoteza kijana wake
 
852733625_229527.jpg
 
Back
Top Bottom