Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna uhuru mkubwa katika kujitambua na kujua unachokitaka maishani [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi chama hicho hakina kurugenzi ya mawasiliano, au wanataka watu wamwage povu za bure bure!!!!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acha tusubiri tuone
Mungu atusaidie kwa kweli.Asee, kuna jamaa hapa mjini anatoa korosho zenye ukungu kama Ofa. Mamlaka ya chakula na dawa wamekaa kimya tu!!!!
Ndio hvyo mkuu wahenga walisema,"kufa kufaana"Dunia haina huruma kabisa, wanahimizana kuzalisha tumbuku huku wakijua kuwa wanazalisha sumu...