moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni"Kitendo cha Msemaji wa Ikulu (Mtumishi wa Serikali) kutangaza vikao vya CCM na Uteuzi wa Wajumbe wa Vikao vya CCM ni hatari mno. Watanzania wanalazimishwa kukubali kuwa watumishi wa serikali ni watumishi wa CCM. CCM ina msemaji wake, lakini mambo ya CCM yanatangazwa na Ikulu.