Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mambo 6 muhimu ya kufahamu kuhusu jinsi ilivyo Sayari ya Venus ambayo ipo jirani na ukubwa wake unafanana na dunia ila tu ina mazingira tofauti na ni hatari.
Kwa mujibuwa shirika la utafiti wa masuala ya anga la nchini Marekani NASA, nimeyapata mambo 6 kuhusu Sayari ya Venus.
 
Venus ikizunguka yenyewe kwa mzunguko mmoja inahitaji siku 243 za dunia, na ikizunguka jua kwa mzunguko mmoja inahitaji siku 224.7 kwenye dunia. Unaona sentensi hii ni ngumu kuielewa? Hii inamaanisha kuwa kwenye sayari hiyo siku moja ni ndefu zaidi kuliko mwaka mmoja!
 
Mwanaharakati
IMG-20180525-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom