Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakuu. Naomba niwaache kidogo. Nitarudi jioni. Again, kama nilizidisha utani au kama nilimkwaza mtu, basi samahani sana; na ukiniambia wapi nilipokukwaza nitajirekebisha mara moja. Nawatakia utoaji na upokeaji wa likes mwema. Stay positive and blessed. Pamoja!
 
Back
Top Bottom