Baadae tu sio keshoBas poa asee
Ngona tuone kesho ata semaje
[emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu lazima usemeIla we jamaa style yako ya usiku hii nimekushindwa asee
Haya mzee Davet aka Don nan sjuiBaadae tu sio kesho
Hahah! Usumbufu wake ni nini sasa?Huo ni usumbufuu
Aaah[emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu lazima useme
Nakwepa kuwakera wadau mida yao wakiwa wanabadirishana mawazoNikisafisha group usiku unakuja kulichafua
Unatusumbua tuamke usiku kukupa likes tuuHahah! Usumbufu wake ni nini sasa?
Hahah!Haya mzee Davet aka Don nan sjui
Likes siutagonga ata asubuhi tuUnatusumbua tuamke usiku kukupa likes tuu
Kwenda hukoooNakwepa kuwakera wadau mida yao wakiwa wanabadirishana mawazo
Zitakuwa nyingi ntashindwaLikes siutagonga ata asubuhi tu
Hahah!! Sawa mkuuAaah
Mi nsena ukweli
Ni razima ukweri usemwe (in magu s voice)
Haya hayaaHahah!! Sawa mkuu
Huwa nabadirishana lakini muda mwingi mnakaba sana kama wewe ukimkomalia Carb yani humuachii ata apumue bhanaKwenda hukooo
Kwani wewe hutaki kubadilishana mawazo?
Hahah!! Hizi post zenyewe sio ndefu wala sio picha unalike fasta tu bila shidaZitakuwa nyingi ntashindwa
Yaan mdogo wangu unafanya nieke alarm kwa ajili ya likes zako tu