Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aah hiyo ya chamaana umeongezea wewe ila jamaa hakusema hiyo kauli, alafu kama hujui jamaa alisharudi na juzi kati tulikuanae humu humu
Siyo lazima asema kuna kitu kinaitwa norms
Je walio asisi uzi walikuwa wana fanya hivo?
Ukiona hawakufanya jua purpose ya uzi haikuwa hivo
Nikajua jamaa ali fariki
 
Back
Top Bottom