Haina noma mimi nipoNtarudi budaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nabadirishana lakini muda mwingi mnakaba sana kama wewe ukimkomalia Carb yani humuachii ata apumue bhana
Eti kuna sehem unapost herufi tuuHahah!! Hizi post zenyewe sio ndefu wala sio picha unalike fasta tu bila shida
Nazingua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My God!!
Mbona kila mtu huwa ana kuwa free tuu
Hii shutuma sasa, hakuna sehemi nimepost hivyoEti kuna sehem unapost herufi tuu
Mara
A
T sju K
Hahah you are cheap
Tutamuita muhasisi wa huu uzi atoe ufafanuzi aliposema post chochote ule like alikua na maana gani?Eti kuna sehem unapost herufi tuu
Mara
A
T sju K
Hahah you are cheap