Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mpenzi hizo fununu tu harusi yetu liniMtalaka wa andjul sasa sijui talaka yenyewe kaikubali au la
Time will tellMimi sijapigwa na sidhani kama nitapigwa
Hamna anayetuelewaSana my
Pamoja mkuuGonga like twende kazi
Ratio ya me kwa ke ni 4:1.Utafiti wako ni wa TWAWEZA mkuu. Wanawake wenyewe humu hawazidi hata wanne. Huoni hata mijibaba inavyotoana ngeu?
OkNaombeni ruhusa nikanywe chai wadau, maana ...
Pamoja mkuuWakuu. Naomba niwaache kidogo. Nitarudi jioni. Again, kama nilizidisha utani au kama nilimkwaza mtu, basi samahani sana; na ukiniambia wapi nilipokukwaza nitajirekebisha mara moja. Nawatakia utoaji na upokeaji wa likes mwema. Stay positive and blessed. Pamoja!
Kumbe kweli nilijua utaniRais anaenda 77 leo saa 4 asubuhi! Mwenye Enzi Mungu ambariki kwa baraka zake zote
Kabisa pata likeKwema
Rais wetu pendwaKumbe kweli nilijua utani
Nipo tu mpenzi nami nakuonaNakuona tu
Kwa kweliKabisa pata like
That's the wayPamoja mkuu
Senki yuuI like what you are doing. You are very smart!
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Andjul eeeehh
Ndio lengo la uziWeka likes pata likes