Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wimbo kwa ajili yake huuHuo wimbo braza
Bruno Mars is the GOAT
Wimbo kwa ajili yake huuHuo wimbo braza
Bruno Mars is the GOAT
Hamna halaf wewe uko njema ebu acha kuji undermine hizo ni utani tuu[emoji23]Naona unaniandama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa bhana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ulinzi ni muhimu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waoga utawajua tu
Ila kuna moja nimeskua unayo huko celebrity ati[emoji23][emoji23]
Nimefurahi kuwaona "nyote wawili" Leo asubuhi[emoji38][emoji38][emoji38]Mama mie kukuona wewe tu sijambo
Umeamkaje mylady?
Yes kadiri watu wapya tunakuja na wenyewe unakuwa mpyaHata hivyo kwenye tarehe za uzi kutimiza mwaka mmoja ni kama umezaliwa upya
Hamna halaf wewe uko njema ebu acha kuji undermine hizo ni utani tuu[emoji23]
Okey sawa Davet usiye DavetMkuu mimi sio davet, nina id moja tu na ndio hii.
Natanguliza pole pia kwa pigigo utakacho pata baadayeShukrani sana mkuu. Nimefurahi pia
Kwani we you never saw it comingAkiiii umenishinda[emoji23][emoji23][emoji23]