Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shiru[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna shida jirani?Mh! Jirani....
Sasa yule sisi ndo tulikuwa tunamtambua isitoshe we nawe uliondoka bila kuaga[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna yule espy huwa anasemaga mi kivuruge tuu eti yule ndio mwenyewe
Akat mi niliondoka kwa muda tu kijamaa kikaiba
Kwanini asisamvaze zake??Si ndio mpaka aka amua kusambaza picha ili amkomeshe mama wasiendelee?
Naona watu wameenda kuim a hip hop[emoji23][emoji23][emoji23]Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF
Haya muende hapo mkateme madini
EeehKwanini asisamvaze zake??
Kwahiyo kusambaza zile picha ndo majuto yenyewe??
Ice acha kunifurahisha bhana khaa!
Mme wa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]View attachment 786552
Kati ya hao wanaume kuna ambaye ni mume wa huyo mwanamke??Kuna kisa cha wanaume wawili kupigana mpaka kumwagana damu wakimgombea mke wa mtu, kulichofuata mmoja wao akabaki na kashfa mtaani dhidi ya mwanamke husika