Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbunge wa Buyungu kwa tiketi ya CHADEMA, Kasuku Bilago amefariki Dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Muhimbili

> Marehemu alizaliwa Februari, 2 mwaka 1964 na alichaguliwa kuongoza jimbo hilo mwaka 2015
Inna lillah wainna illayhi rajiun, poleni wana CHADEMA. Bilango alikuwa alama pekee ya chama hicho mkoani Kigoma hasa baada ya kumpoteza Zitto Kabwe
 
*Tanabahi:*

*Ndoa:*
Zamani ndoa ilikuwa ni *tulizo*, lakini leo ni *'mapambano.'*

*Rafiki:*
Zamani rafiki alikuwa ni hazina, lakini leo urafiki ni kwa *'maslahi'.*

*Undugu:*
Zamani, undugu ulikuwa ni *ngao,* lakini leo ni *uadui.*

Ni kitu kimoja tu ndicho ambacho hakijabadilika kwa kadiri zama zilivyobadilika, na si kingine bali ni *'mama'*

Zamani, mama alikuwa ni *'rehma'* na leo angali ni *rehma,* na ataendelea kubaki kuwa ni *rehma.*

Yaa Allah, mwenye mama aliye hai basi mhifadhie mamaake...

Mwenye mama aliyefariki basi mrehemu mama yake...

Mwenye mama aliye mgonjwa, mpe shifaa mama yake....

Mwenye mama ambaye ni muhitaji basi mkidhie haja yake....

Ameen thuma Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…