ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Hahahaha
Hahahaha
Analisongesha huyo..Iceman 3D
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]*Tanabahi:*
*Ndoa:*
Zamani ndoa ilikuwa ni *tulizo*, lakini leo ni *'mapambano.'*
*Rafiki:*
Zamani rafiki alikuwa ni hazina, lakini leo urafiki ni kwa *'maslahi'.*
*Undugu:*
Zamani, undugu ulikuwa ni *ngao,* lakini leo ni *uadui.*
Ni kitu kimoja tu ndicho ambacho hakijabadilika kwa kadiri zama zilivyobadilika, na si kingine bali ni *'mama'*
Zamani, mama alikuwa ni *'rehma'* na leo angali ni *rehma,* na ataendelea kubaki kuwa ni *rehma.*
Yaa Allah, mwenye mama aliye hai basi mhifadhie mamaake...
Mwenye mama aliyefariki basi mrehemu mama yake...
Mwenye mama aliye mgonjwa, mpe shifaa mama yake....
Mwenye mama ambaye ni muhitaji basi mkidhie haja yake....
Ameen thuma Ameen
Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu!
YeahYaani hata sielewi ni wivu? Vyuma kukaza au nini....ila inasikitisha sana
Sitaogopa jambo loloteMambo sawa sawaaaaa
Mambo sawa sawaaaa
Yesu akiwaaaa enziniiiii
Mambo sawa sawaaa
Mambo sawa sawaaaa
Mambo sawa sawaaaa
[emoji445]
Hahahaha! Kichwa kigumu ni kigumu tu[emoji23][emoji23],A beautiful indeed hapo hata nikimuelekeza mtu calculus lazima anielewe
Woyoooo! Sunday mood mapeema hahahaSitaogopa jambo lolote
Ninaye Yesu moyoni
Amehakikisha mambo yote
Mambo sawa sawaaaaaaaa.
Acha kabisa, UPAKOWoyoooo! Sunday mood mapeema hahaha